naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 6

Zolea ni msichana mtiifu. Taja mifano miwili ya watu anaowatii Zolea katika kifungu.

From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Kusikiliza

Zoezi 1B: Ufahamu wa kusikiliza. Sikiliza kifungu kisha ujibu maswali.
Sikiliza (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuzungumza.

6. Zolea ni msichana mtiifu. Taja mifano miwili ya watu anaowatii Zolea katika kifungu.

🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.

Answer

Wazazi na walimu.

Jibu kwa sentensi kamili, kwa sauti inayosikika.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test