CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 2
Hebu nieleze, mapato anayopata yanamfaa vipi?
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo
Zoezi 1A: Mazungumzo ya ana kwa ana.
Sikiliza (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuzungumza.
2. Hebu nieleze, mapato anayopata yanamfaa vipi?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ananunua chakula na kutulipia karo.
Jibu kwa sentensi kamili, kwa sauti inayosikika.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ukimaliza masomo ungetaka kufanya shughuli gani maishani ili kujipatia mapato? Nieleze sababu za kuchagua shughuli hiyo.Question 3
- Umeshinda mbio za riadha shuleni mwenu. Umepewa kuku kama zawadi. Utafanya nini ili upate manufaa kutokana na zawadi…Question 4
- Kifungu nilichokusomea kinamhusu msichana anayeitwa nani?Question 5
- Zolea ni msichana mtiifu. Taja mifano miwili ya watu anaowatii Zolea katika kifungu.Question 6
- Je, kwa nini ni muhimu kuwa mtiifu?Question 7
- Zolea hutia fora, ina maana gani?Question 8