CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 3
Ukimaliza masomo ungetaka kufanya shughuli gani maishani ili kujipatia mapato? Nieleze sababu za kuchagua shughuli hiyo.
From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo
Zoezi 1A: Mazungumzo ya ana kwa ana.
Sikiliza (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuzungumza.
3. Ukimaliza masomo ungetaka kufanya shughuli gani maishani ili kujipatia mapato? Nieleze sababu za kuchagua shughuli hiyo.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ningependa kuwa daktari ili niwatibu wagonjwa.
Jibu kwa sentensi kamili, kwa sauti inayosikika.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Umeshinda mbio za riadha shuleni mwenu. Umepewa kuku kama zawadi. Utafanya nini ili upate manufaa kutokana na zawadi…Question 4
- Kifungu nilichokusomea kinamhusu msichana anayeitwa nani?Question 5
- Zolea ni msichana mtiifu. Taja mifano miwili ya watu anaowatii Zolea katika kifungu.Question 6
- Je, kwa nini ni muhimu kuwa mtiifu?Question 7
- Zolea hutia fora, ina maana gani?Question 8
- Sasa naomba unisomee kifungu hiki kwa sauti.Question 9