naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 4

Umeshinda mbio za riadha shuleni mwenu. Umepewa kuku kama zawadi. Utafanya nini ili upate manufaa kutokana na zawadi hiyo?

From Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo

Zoezi 1A: Mazungumzo ya ana kwa ana.
Sikiliza (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuzungumza.

4. Umeshinda mbio za riadha shuleni mwenu. Umepewa kuku kama zawadi. Utafanya nini ili upate manufaa kutokana na zawadi hiyo?

🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.

Answer

Nitamtunza kuku hadi atage mayai kisha niyauze.

Jibu kwa sentensi kamili, kwa sauti inayosikika.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test