CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025: School Based Assessment 2025 (Set 11B) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma
Kiswahili — School Based Assessment 2025 (Set 11B) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · School Based Assessment 2025 (Set 11B) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 9 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 9 questions with answers
- Question 1: Je, mzazi au mlezi wako anafanya shughuli gani ili kujipatia mapato?Answer: Mzazi wangu ni mkulima.
- Question 2: Hebu nieleze, mapato anayopata yanamfaa vipi?Answer: Ananunua chakula na kutulipia karo.
- Question 3: Ukimaliza masomo ungetaka kufanya shughuli gani maishani ili kujipatia mapato? Nieleze sababu za kuchagua shughuli hiyo.Answer: Ningependa kuwa daktari ili niwatibu wagonjwa.
- Question 4: Umeshinda mbio za riadha shuleni mwenu. Umepewa kuku kama zawadi. Utafanya nini ili upate manufaa kutokana na zawadi hiyo?Answer: Nitamtunza kuku hadi atage mayai kisha niyauze.
- Question 5: Kifungu nilichokusomea kinamhusu msichana anayeitwa nani?Answer: Zolea.
- Question 6: Zolea ni msichana mtiifu. Taja mifano miwili ya watu anaowatii Zolea katika kifungu.Answer: Wazazi na walimu.
- Question 7: Je, kwa nini ni muhimu kuwa mtiifu?Answer: Unaheshimiwa na unakuwa mfano wa kuigwa.
- Question 8: Zolea hutia fora, ina maana gani?Answer: Hufaulu sana darasani.
- Question 9: Sasa naomba unisomee kifungu hiki kwa sauti.Answer: Ng’ombe ni mnyama ambaye anafugwa na binadamu. Mnyama huyu ana manufaa tele kwetu. Kwanza kabisa, huchinjwa…