CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 7
KUSOMA Soma taarifa ifuatayo kwa ufasaha.
From Kiswahili — Competence Based Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Mungu aliumba dunia na kila kinachopatikana humo. Aliumba mbingu na ardhi akavitenganisha. Aliumba anga. Angani aliweka jua, mwezi na nyota. Jua huangaza mchana na mwezi humulika usiku. Mungu alisema kuwe na ndege wa aina aina. Aliwaumba ndege wanaopaa angani na wanaotembea ardhini.
KUSOMA
Soma taarifa ifuatayo kwa ufasaha.
Answer
Mungu aliumba dunia na kila kinachopatikana humo. Aliumba mbingu na ardhi akavitenganisha. Aliumba anga. Angani aliweka jua, mwezi na nyota. Jua huangaza mchana na mwezi humulika usiku. Mungu alisema kuwe na ndege wa aina aina. Aliwaumba ndege wanaopaa angani na wanaotembea ardhini.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA B: SEHEMU YA 1: KUSOMA UFAHAMU a) Siku ya mashindano yalikuwa gani?Question 9
- b) Mashindano yalikuwa ya nini?Question 10
- c) Baada ya kupandisha bendera tuliimba wimbo wa ...Question 11
- d) Wale walioshinda walipewa ...Question 12
- e) Atieno pia alishinda?Question 13
- f) Walioimba vizuri zaidi walikuwa wa gredi ...Question 14