CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 6
SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.
From Kiswahili — Competence Based Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Lochita aliishi na wazazi wake Betei. Wazazi hao walimpenda sana. Wakati wa likizo, Lochita aliwatembelea shangazi na mjomba. Aliwanunulia binamu zake kalamu na vifutio. Shangazi alimwambia Lochita abaki ili watembelee mbuga ya wanyama. Mbugani waliwaona wanyama wengi, waliwaona simba, ndovu na chui. Lochita alipiga picha ili awaonyeshe wazazi wake.
SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.
Answer
Lochita aliishi na wazazi wake Betei. Wazazi hao walimpenda sana. Wakati wa likizo, Lochita aliwatembelea shangazi na mjomba. Aliwanunulia binamu zake kalamu na vifutio. Shangazi alimwambia Lochita abaki ili watembelee mbuga ya wanyama. Mbugani waliwaona wanyama wengi, waliwaona simba, ndovu na chui. Lochita alipiga picha ili awaonyeshe wazazi wake.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- KUSOMA Soma taarifa ifuatayo kwa ufasaha.Question 7
- SEHEMU YA B: SEHEMU YA 1: KUSOMA UFAHAMU a) Siku ya mashindano yalikuwa gani?Question 9
- b) Mashindano yalikuwa ya nini?Question 10
- c) Baada ya kupandisha bendera tuliimba wimbo wa ...Question 11
- d) Wale walioshinda walipewa ...Question 12
- e) Atieno pia alishinda?Question 13