naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 10

b) Mashindano yalikuwa ya nini?

From Kiswahili — Competence Based Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.

Ilikuwa ni siku ya Alhamisi, kulikuwa na mashindano ya kuimba nyimbo. Wanafunzi wa shule jirani walikuja shuleni kwetu. Tulienda kwenye gwaride. Bendera ilipandishwa tuliimba wimbo wa taifa, Baadaye tuliingia ukumbini. Gredi ya tatu iliimba vizuri. Tulipewa zawadi. Grace alikariri shairi. Naye pia alipokea zawadi.

b) Mashindano yalikuwa ya nini?

  1. Akukimbia
  2. Bkuimba
  3. Ckucheza

Answer

B. kuimba

Yalikuwa mashindano ya kuimba nyimbo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test