naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 13

e) Atieno pia alishinda?

From Kiswahili — Competence Based Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.

Ilikuwa ni siku ya Alhamisi, kulikuwa na mashindano ya kuimba nyimbo. Wanafunzi wa shule jirani walikuja shuleni kwetu. Tulienda kwenye gwaride. Bendera ilipandishwa tuliimba wimbo wa taifa, Baadaye tuliingia ukumbini. Gredi ya tatu iliimba vizuri. Tulipewa zawadi. Grace alikariri shairi. Naye pia alipokea zawadi.

e) Atieno pia alishinda?

  1. Andio
  2. Bla

Answer

B. la

Hadithi haimtaji Atieno; aliyekariri shairi na kupokea zawadi ni Grace.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test