CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 14
f) Walioimba vizuri zaidi walikuwa wa gredi ...
From Kiswahili — Competence Based Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Ilikuwa ni siku ya Alhamisi, kulikuwa na mashindano ya kuimba nyimbo. Wanafunzi wa shule jirani walikuja shuleni kwetu. Tulienda kwenye gwaride. Bendera ilipandishwa tuliimba wimbo wa taifa, Baadaye tuliingia ukumbini. Gredi ya tatu iliimba vizuri. Tulipewa zawadi. Grace alikariri shairi. Naye pia alipokea zawadi.
f) Walioimba vizuri zaidi walikuwa wa gredi ............................
- Aya nne
- Bya pili
- Cya tatu
Answer
C. ya tatu
Gredi ya tatu iliimba vizuri.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA 2: SARUFI Chora picha a. MiwaniQuestion 15
- Andika wingi: Umoja → Wingi 6. UaQuestion 21
- Tumia silabi kufanya neno Mfano: ba - babu naQuestion 26
- Chagua jibu sahihi Mguu ...Question 31
- Jaza pengo s__m__k__Question 36
- SEHEMU YA A: SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Mwalimu atakuuliza maswali yafuatayo, uyajibu vilivyo. a) Mzazi wa…Question 1