CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 9
SEHEMU YA B: SEHEMU YA 1: KUSOMA UFAHAMU a) Siku ya mashindano yalikuwa gani?
From Kiswahili — Competence Based Assessment Term 1 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Ilikuwa ni siku ya Alhamisi, kulikuwa na mashindano ya kuimba nyimbo. Wanafunzi wa shule jirani walikuja shuleni kwetu. Tulienda kwenye gwaride. Bendera ilipandishwa tuliimba wimbo wa taifa, Baadaye tuliingia ukumbini. Gredi ya tatu iliimba vizuri. Tulipewa zawadi. Grace alikariri shairi. Naye pia alipokea zawadi.
SEHEMU YA B: SEHEMU YA 1: KUSOMA UFAHAMU
a) Siku ya mashindano yalikuwa gani?
- AIjumaa
- BAlhamisi
- CJumatano
Answer
B. Alhamisi
Ilikuwa ni siku ya Alhamisi.