naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8

Baba alimfunza mwandishi kufanya nini viazi?

From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.

Baba ni mpishi hodari. Juzi alinifunza jinsi ya kuosha viazi. Kisha akanionyesha namna ya kumenya viazi hivyo. Baada ya kuvimenya niliviosha tena. Baba alivikatakata vipande vidogo vya viazi. Tulivipika vipande hivi tukapata chakula kitamu.

Baba na mtoto wakipika jikoni

2. Baba alimfunza mwandishi kufanya nini viazi?

Answer

kuosha viazi

Baba alimfunza jinsi ya kuosha viazi (na kuvimenya).

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test