CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Baada ya kupika viazi walipata chakula ___
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.
Baba ni mpishi hodari. Juzi alinifunza jinsi ya kuosha viazi. Kisha akanionyesha namna ya kumenya viazi hivyo. Baada ya kuvimenya niliviosha tena. Baba alivikatakata vipande vidogo vya viazi. Tulivipika vipande hivi tukapata chakula kitamu.

5. Baada ya kupika viazi walipata chakula ____
- Akitamu
- Bkali
Answer
A. kitamu
Walipata chakula kitamu.