CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 3 (2026)
Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) · Revision Paper 3 (2026) · 34 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 34 questions with answers
- Question 1: Taja jina la shule lako.Answer: Shule yangu inaitwa Shule ya Msingi Amani.
- Question 2: Rafiki yako anaitwa nani?Answer: Rafiki yangu anaitwa Juma.
- Question 3: Unapenda somo gani shuleni?Answer: Ninapenda Hisabati.
- Question 4: Unamwamkuaje mwalimu wako unapofika shuleni?Answer: Shikamoo mwalimu.
- Question 5: Je, wewe hufanya nini wakati wa mapumziko?Answer: Mimi hucheza mpira na marafiki zangu.
- Question 6: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Asha huamka asubuhi na mapema. Yeye huvaa sare zake na kubeba mkoba wake. Asha huenda shuleni na rafiki yake…
- Question 7: Nani mpishi hodari?Answer: Baba
- Question 8: Baba alimfunza mwandishi kufanya nini viazi?Answer: kuosha viazi
- Question 9: Mwandishi alionyeshwa jinsi ya ___ viazi hivyo.Answer: B. kumenya
- Question 10: Baba alikatakata viazi katika vipande ___Answer: B. vidogo
- Question 11: Baada ya kupika viazi walipata chakula ___Answer: A. kitamu
- Question 12: Andika majina ya picha hizi. a)Answer: machela
- Question 13: b)Answer: daktari
- Question 14: c)Answer: bendera
- Question 15: Jibu maamkuzi haya. 7. Habari yako?Answer: Nzuri
- Question 16: Hujambo?Answer: Sijambo
- Question 17: Shikamoo?Answer: Marahaba
- Question 18: Chora vifaa hivi. Kengele | Kikombe | SaaAnswer: Kengele, kikombe na saa vimechorwa.
- Question 19: Tumia "wewe" au "nyinyi" kujaza nafasi. 11. ___ mtaenda sokoni.Answer: B. Nyinyi
- Question 20: ___ ni mvulana mwerevu.Answer: A. Wewe
- Question 21: ___ ni wakulima hodari.Answer: B. Nyinyi
- Question 22: Unda maneno kwa kutumia sauti hizi. 14. PuAnswer: punda
- Question 23: ViAnswer: viti
- Question 24: MeAnswer: meza
- Question 25: Ambatanisha vyakula na madini yao 17.Answer: C. protini
- Question 26: 18.Answer: B. vitamini
- Question 27: 19.Answer: A. wanga
- Question 28: Andika maneno haya katika herufi kubwa au herufi ndogo. a) AFYAAnswer: afya
- Question 29: b) mwiliAnswer: MWILI
- Question 30: SEHEMU 5: KUANDIKA Andika sentensi tano utakazosomewa na mwalimu. 21.Answer: Asha anapenda kusoma.
- Question 31: 22.Answer: Baba ni mpishi hodari.
- Question 32: 23.Answer: Tunakula chakula kitamu.
- Question 33: 24.Answer: Rafiki yangu anaitwa Ali.
- Question 34: 25.Answer: Mwalimu wetu ni mpole.