CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7
Nani mpishi hodari?
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.
Baba ni mpishi hodari. Juzi alinifunza jinsi ya kuosha viazi. Kisha akanionyesha namna ya kumenya viazi hivyo. Baada ya kuvimenya niliviosha tena. Baba alivikatakata vipande vidogo vya viazi. Tulivipika vipande hivi tukapata chakula kitamu.

1. Nani mpishi hodari?
Answer
Baba
Kifungu kinasema: Baba ni mpishi hodari.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Baba alimfunza mwandishi kufanya nini viazi?Question 8
- Mwandishi alionyeshwa jinsi ya ___ viazi hivyo.Question 9
- Baba alikatakata viazi katika vipande ___Question 10
- Baada ya kupika viazi walipata chakula ___Question 11
- Andika majina ya picha hizi. a)Question 12
- Jibu maamkuzi haya. 7. Habari yako?Question 15