CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
Mwandishi alionyeshwa jinsi ya ___ viazi hivyo.
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.
Baba ni mpishi hodari. Juzi alinifunza jinsi ya kuosha viazi. Kisha akanionyesha namna ya kumenya viazi hivyo. Baada ya kuvimenya niliviosha tena. Baba alivikatakata vipande vidogo vya viazi. Tulivipika vipande hivi tukapata chakula kitamu.

3. Mwandishi alionyeshwa jinsi ya ____ viazi hivyo.
- Akukaanga
- Bkumenya
Answer
B. kumenya
Baba alimwonyesha namna ya kumenya viazi.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Baba alikatakata viazi katika vipande ___Question 10
- Baada ya kupika viazi walipata chakula ___Question 11
- Andika majina ya picha hizi. a)Question 12
- Jibu maamkuzi haya. 7. Habari yako?Question 15
- Chora vifaa hivi. Kengele | Kikombe | SaaQuestion 18
- Tumia "wewe" au "nyinyi" kujaza nafasi. 11. ___ mtaenda sokoni.Question 19