naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10

Baba alikatakata viazi katika vipande ___

From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.

Baba ni mpishi hodari. Juzi alinifunza jinsi ya kuosha viazi. Kisha akanionyesha namna ya kumenya viazi hivyo. Baada ya kuvimenya niliviosha tena. Baba alivikatakata vipande vidogo vya viazi. Tulivipika vipande hivi tukapata chakula kitamu.

Baba na mtoto wakipika jikoni

4. Baba alikatakata viazi katika vipande ____

  1. Avikubwa
  2. Bvidogo

Answer

B. vidogo

Baba alivikatakata vipande vidogo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test