CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026: K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 2, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026
Test 89 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 2, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 2, Tathmini ya Mwisho Muhula 2, 2026 · 17 questions
Topics: Kuandika, Fasihi.
All 17 questions with answers
- Question 1: ZOEZI 1: INSHA (Alama 15) Endeleza insha ifuatayo huku ukiifanya iwe ya kusisimua. Wageni walianza kufika mapema tayari kwa sherehe ___Answer: Wageni walianza kufika mapema tayari kwa sherehe ya arusi ya dada yangu Amina. Kufikia saa nne asubuhi,…
- Question 2: (a) Hadithi hii yenye mhusika mjanja na mwingine mjinga huitwaje? (Alama 1)Answer: Hadithi hii huitwa hadithi za sungura (hadithi za ujanja)..
- Question 3: (b) Taja shughuli mbili za kiuchumi katika hadithi hii. (Alama 2)Answer: Kilimo; Ufugaji wa wanyama.
- Question 4: (c) Eleza maana ya: “Ahadi hizo zilibaki katika mawazo yake tu.” (Alama 1)Answer: Fisi hakutekeleza ahadi zake; aliwaza tu bila kuchukua hatua..
- Question 5: (d) Taja sifa mbili za sungura. (Alama 2)Answer: Mjanja; Mdanganyifu/Mlaghai.
- Question 6: (e) Taja mbinu tatu za lugha zilizotumika katika hadithi hii. (Alama 3)Answer: Wahusika wanyama (Sungura na Fisi); Mazungumzo; Taswira/Methali (mfano: “ndumakuwili”).
- Question 7: (f) Fafanua funzo moja. (Alama 1)Answer: Tusiamini kila mtu kirahisi kwa sababu baadhi ya watu ni wadanganyifu..
- Question 8: Andika sifa tatu zinazotambulisha kifungu hiki kama tamthilia. (Alama 3)Answer: Kuna majina ya wahusika (Mabula na Mishi).; Kuna mazungumzo ya moja kwa moja.; Kuna maelekezo ya jukwaa kama…
- Question 9: Eleza mandhari yanayojitokeza katika sehemu hii ya tamthilia. (Alama 1)Answer: Mandhari ni nyumbani kwa Mabula mapema asubuhi..
- Question 10: Bainisha matumizi mawili ya maelekezo ya jukwaa kwa kurejelea sehemu hii ya tamthilia. (Alama 2)Answer: Kuonyesha mahali na wakati wa tukio — (Mapema asubuhi nyumbani kwake Mabula).; Kuonyesha hisia au namna…
- Question 11: Jadili mfano mmoja wa maudhui yanayojitokeza katika sehemu hii ya tamthilia. (Alama 2)Answer: Malezi — Mishi anamlea Dama kwa kumfanyia kila jambo, jambo ambalo limemfanya kuwa mvivu na kutokujitegemea..
- Question 12: Huku ukitolea mifano, taja tamathali mbili za lugha ambazo zinajitokeza katika sehemu hii ya tamthilia. (Alama 2)Answer: Tashbihi — “Umekonda kama ng'onda.”; Takriri — “Unakumbuka alikuwa hawezi...” imerudiwa mara kadhaa..
- Question 13: Shairi la aina hii huitwaje? (Alama 1)Answer: Shairi hili huitwa shairi la kimapokeo..
- Question 14: Taja kibwagizo cha shairi hili. (Alama 1)Answer: “Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza.”.
- Question 15: Kina cha kati katika beti ya tatu ni kipi? (Alama 1)Answer: -aa (sanaa, miyaa, angaa).
- Question 16: Andika mleo wa ubeti wa nne. (Alama 1)Answer: tabibu.
- Question 17: Shairi hili linahusu nini? (Alama 1)Answer: Umuhimu wa akiba, bidii, elimu na matumizi bora ya vipaji katika maisha..