CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 13
Shairi la aina hii huitwaje? (Alama 1)
From Test 89 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 2, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Fasihi, Ushairi
Shairi
Soma shairi lifuatalo kisha jibu maswali yanayofuata.
Miradi tuifanyeni, mizuri na ya riziki
Kwa wengi tujifunzeni, makundi tuyahakiki
Ndege tufuge nyumbani, daima tuipe tiki
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Akiba kwa elimu, hii kwetu ni muhimu
Kwetu sisi ni jukumu, kwa vitabu na kalamu
Baadaye tuje jikimu, kwa hela sizo haramu
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Kupitia kwa sanaa, tukuze na uchoraji
Tushone kwayo miyaa, tusifute hadi jiji
Kipaji chetu angaa, tutunze sisi magwiji
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Bidii na darasani, uwe ni wetu wajibu
Tuifanye kwa makini, sawa yakawe majibu
Tuepuke na uhuni, tuwe badaye tabibu
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Wosia nimeshatoa, wazazi ninagura
Tangu mpate pokea, mjitolee kwa hasara
Hakika kayapakua, msiiweke hasira
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Soma shairi lifuatalo kisha jibu maswali yanayofuata.
Miradi tuifanyeni, mizuri na ya riziki
Kwa wengi tujifunzeni, makundi tuyahakiki
Ndege tufuge nyumbani, daima tuipe tiki
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Akiba kwa elimu, hii kwetu ni muhimu
Kwetu sisi ni jukumu, kwa vitabu na kalamu
Baadaye tuje jikimu, kwa hela sizo haramu
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Kupitia kwa sanaa, tukuze na uchoraji
Tushone kwayo miyaa, tusifute hadi jiji
Kipaji chetu angaa, tutunze sisi magwiji
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Bidii na darasani, uwe ni wetu wajibu
Tuifanye kwa makini, sawa yakawe majibu
Tuepuke na uhuni, tuwe badaye tabibu
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Wosia nimeshatoa, wazazi ninagura
Tangu mpate pokea, mjitolee kwa hasara
Hakika kayapakua, msiiweke hasira
Akiba kwetu ni mali, ambayo hayataoza
Shairi la aina hii huitwaje? (Alama 1)
Answer
Shairi hili huitwa shairi la kimapokeo..
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Taja kibwagizo cha shairi hili. (Alama 1)Question 14
- Kina cha kati katika beti ya tatu ni kipi? (Alama 1)Question 15
- Andika mleo wa ubeti wa nne. (Alama 1)Question 16
- Shairi hili linahusu nini? (Alama 1)Question 17
- ZOEZI 1: INSHA (Alama 15) Endeleza insha ifuatayo huku ukiifanya iwe ya kusisimua. Wageni walianza kufika mapema…Question 1
- (a) Hadithi hii yenye mhusika mjanja na mwingine mjinga huitwaje? (Alama 1)Question 2