CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 5) (Test 28)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · Revision 2026 (Booklet 5) · 19 questions
Topics: Kuandika, Fasihi.
All 19 questions with answers
- Question 1: ZOEZI 1: KUANDIKA INSHA (ALAMA 15) Andika insha ya masimulizi ya kusisimua itakayomalizia kwa maneno yafuatayo: "Siku hiyo ilianza kama…Answer: Siku hiyo ilianza kama siku nyingine yoyote ya kawaida. Niliamka alfajiri, nikaoga, nikavaa sare yangu na…
- Question 2: i. Hadithi hii ni aina gani kulingana na tanzu za fasihi simulizi? (alama 2)Answer: Ni mighani (kisakale): inasimulia Chepe, mtu mwenye nguvu za ajabu anayeokoa jamii kwa kulishinda zimwi…
- Question 3: ii. Eleza kwa nini Chepe alifanikiwa kumshinda zimwi Gogota. (Alama 2)Answer: Alikumbuka siri aliyoambiwa na ajuza wa kijiji kwamba udhaifu wa Gogota uko kwenye mkia wake mrefu, akatumia…
- Question 4: iii. Eleza mandhari ya hadithi hii na jinsi inavyochangia kukuza hadithi yenyewe. (alama 2)Answer: Kijiji cha Tambarare na msituni kwenye pango la Gogota. Kijiji ni mahali pa amani palipovamiwa, hivyo…
- Question 5: iv. Eleza sifa mbili za Chepe kama zilivyojitokeza katika hadithi hii. (alama 2)Answer: Ni shujaa (jasiri): pekee aliyethubutu kupigana na Gogota. Ana nguvu za ajabu: aling'oa mbuyu kwa mikono…
- Question 6: v. Tambua na ueleze mbinu mbili za lugha zilizotumika katika kisa hiki. (Alama 2)Answer: Chuku: "kung'oa mbuyu mkubwa kwa mikono yake miwili na kutembea nao kana kwamba ni unyasi". Tashbihi:…
- Question 7: i. Msuko ni mtiririko wa mawazo na maelezo katika kazi ya fasihi. Eleza msuko wa dondoo hili kwa aya moja tu. (alama 3)Answer: Mzee Tatu anamweleza mjukuu wake Kijana Sudi jinsi tamaa ya binadamu ya kukata miti bila kupanda mingine…
- Question 8: ii. Fafanua maudhui mawili yanayojitokeza katika makala haya. (alama 4)Answer: Uharibifu wa mazingira: watu wamekata miti wakitafuta utajiri na mbao. Utunzaji wa mazingira: Sudi…
- Question 9: iii. Taja na utoe mfano wa tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye kifungu hiki. (alama 2)Answer: Tashbihi: "jua linatuchoma kama tanuri". Sitiari: "njaa imetupiga kambi".
- Question 10: iv. Ni sifa gani ya Mzee tatu iliyomfanya Kijana Sudi kumsikiliza kwa makini na baadaye kuchukua hatua ya kuokoa uhai wa adhi ya eneo lao?…Answer: Hekima (busara): alifafanua makosa ya jamii na umuhimu wa maliasili kwa sauti iliyojaa hekima.
- Question 11: i. Maelekezo ya jukwaani ni mojawapo ya sifa za tamthilia. Eleza umuhimu wake ukirejelea dondoo hili. (alama 2)Answer: Yanafafanua mandhari (sebuleni, runinga inawaka) na yanaonyesha matendo na hisia zisizosemwa kwa maneno,…
- Question 12: ii. Jadili maudhui makuu yanayojitokeza waziwazi katika dondoo hili. (alama 2)Answer: Uhalifu wa mtandaoni: matapeli wanawalaghai vijana ili kupata taarifa za siri za benki kwa ahadi za pesa…
- Question 13: iii. Eleza sifa mbili za mhusika Bi. Rehema kama zilivyojitokeza katika dondoo hili. (alama 2)Answer: Mkali (mwenye hasira): anamkemea Jeni kwa kushinda kwenye simu na kutopanga vyombo. Mshauri mwema…
- Question 14: iv. Eleza dhamira ya mwandishi katika dondooo hili. (alama2)Answer: Kuonya jamii, hasa vijana, kuhusu hatari za utapeli mtandaoni na kuhimiza matumizi salama ya vifaa vya…
- Question 15: v. Taja na utolee mifano tamathali mbili za lugha zilizojitokeza katika dondoo hili. ( alama 2)Answer: Swali la balagha: "Hata vyombo hujapanga?". Sitiari: "unawaalika wezi sebuleni kwetu".
- Question 16: i. Shairi hili ni la bahari gani? Eleza. (alama 1)Answer: Tarbia: lina mishororo minne katika kila ubeti.
- Question 17: ii. Andika ukwapi wa mloto katika ubeti wa pili. (alama 2)Answer: Amani tujipatie
- Question 18: iii. Andika kibwagizo cha shairi hili. (alama 1)Answer: Utunzaji mazingira, ni jukumu letu sote.
- Question 19: iv. Taja jambo ambalo tunastahili kufanya ili kuepuka magonjwa. (alama 1)Answer: Tusiyachafue mazingira (tuukatae uchafu).