CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 17
ii. Andika ukwapi wa mloto katika ubeti wa pili. (alama 2)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 2 marks · Topic: Fasihi, Muundo wa Shairi
ZOEZI 5: USHAIRI (Alama 5)
Mazingira yetu sote, hatuna budi kulinda,
Tusiyachafue yote, magonjwa yakatushinda,
Miti tupande popote, nchi iwe inashinda,
Utunzaji mazingira, ni jukumu letu sote.
Vyura majini walie, ndege angani waimbe,
Uchafu tuukatae, ugonjwa usitukumbe,
Amani tujipatie, na neema zisimbe,
Utunzaji mazingira, ni jukumu letu sote.
ii. Andika ukwapi wa mloto katika ubeti wa pili. (alama 2)
Answer
Amani tujipatie
Mloto ni mshororo wa tatu; ukwapi ni kipande cha kwanza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- iii. Andika kibwagizo cha shairi hili. (alama 1)Question 18
- iv. Taja jambo ambalo tunastahili kufanya ili kuepuka magonjwa. (alama 1)Question 19
- ZOEZI 1: KUANDIKA INSHA (ALAMA 15) Andika insha ya masimulizi ya kusisimua itakayomalizia kwa maneno yafuatayo: "Siku…Question 1
- i. Hadithi hii ni aina gani kulingana na tanzu za fasihi simulizi? (alama 2)Question 2
- ii. Eleza kwa nini Chepe alifanikiwa kumshinda zimwi Gogota. (Alama 2)Question 3
- iii. Eleza mandhari ya hadithi hii na jinsi inavyochangia kukuza hadithi yenyewe. (alama 2)Question 4