CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term 1 Exam 2025 (Set 3) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma
Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · End Term 1 Exam 2025 (Set 3) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 12 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 12 questions with answers
- Question 1: Mwalimu atakuuliza maswali yafuatayo. 1. Wewe na wenzako mna zamu ya kulisha mifugo wa nyumbani?Answer: Ndiyo, mimi na wenzangu tuna zamu ya kulisha mifugo nyumbani.
- Question 2: Taja wanyama wawili wa nyumbani mtakaolisha.Answer: Tutalisha ng'ombe na mbuzi.
- Question 3: Taja vyakula viwili ambavyo mifugo hawa watakula.Answer: Watakula nyasi na majani ya mahindi.
- Question 4: Toa maelezo mafupi kuhusu jinsi mtakavyowatunza mifugo hawa kando na kuwapa chakula.Answer: Tutawapa maji safi, tutasafisha mabanda yao na kuwapeleka kwa daktari wa mifugo wanapougua.
- Question 5: Eleza umuhimu wa kuwafuga wanyama wa nyumbani.Answer: Wanyama wa nyumbani hutupa maziwa, nyama na mayai, na tunaweza kuwauza tupate pesa.
- Question 6: Taja mahali ambapo wanyama hawa hulala.Answer: Ng'ombe hulala zizini na kuku hulala bandani.
- Question 7: Taja wanyama wawili wanaofugwa na Musa.Answer: Ng'ombe na mbuzi.
- Question 8: Musa ana ng'ombe wangapi wa maziwa?Answer: Watano
- Question 9: Musa huvua samaki siku gani?Answer: Ijumaa
- Question 10: Mario ni nani katika hadithi?Answer: Mke wa Musa
- Question 11: Musa hufuga ___ na ___Answer: wanyama na ndege
- Question 12: Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Kasuku wangu anaitwa Pendo. Nilipewa Pendo kama zawadi na mwalimu wangu baada ya kuupita mtihani. Mwalimu…