CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 6
Taja mahali ambapo wanyama hawa hulala.
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza
Sikiliza swali (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuzungumza.
6. Taja mahali ambapo wanyama hawa hulala.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ng'ombe hulala zizini na kuku hulala bandani.
Jibu kwa sentensi kamili na kwa sauti inayosikika.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.