naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 5

Eleza umuhimu wa kuwafuga wanyama wa nyumbani.

From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza

Sikiliza swali (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuzungumza.

5. Eleza umuhimu wa kuwafuga wanyama wa nyumbani.

🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.

Answer

Wanyama wa nyumbani hutupa maziwa, nyama na mayai, na tunaweza kuwauza tupate pesa.

Jibu kwa sentensi kamili na kwa sauti inayosikika.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test