CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 4
Toa maelezo mafupi kuhusu jinsi mtakavyowatunza mifugo hawa kando na kuwapa chakula.
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza
Sikiliza swali (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuzungumza.
4. Toa maelezo mafupi kuhusu jinsi mtakavyowatunza mifugo hawa kando na kuwapa chakula.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Tutawapa maji safi, tutasafisha mabanda yao na kuwapeleka kwa daktari wa mifugo wanapougua.
Jibu kwa sentensi kamili na kwa sauti inayosikika.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.