CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 3
Taja vyakula viwili ambavyo mifugo hawa watakula.
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza
Sikiliza swali (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuzungumza.
3. Taja vyakula viwili ambavyo mifugo hawa watakula.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Watakula nyasi na majani ya mahindi.
Jibu kwa sentensi kamili na kwa sauti inayosikika.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Toa maelezo mafupi kuhusu jinsi mtakavyowatunza mifugo hawa kando na kuwapa chakula.Question 4
- Eleza umuhimu wa kuwafuga wanyama wa nyumbani.Question 5
- Taja mahali ambapo wanyama hawa hulala.Question 6
- Taja wanyama wawili wanaofugwa na Musa.Question 7
- Musa ana ng'ombe wangapi wa maziwa?Question 8
- Musa huvua samaki siku gani?Question 9