CBC Grade 4 Kiswahili End Term 2 Exam 2026: Term 2 End-term Assessment 2026 (Lugha)
Kiswahili — Term 2 End-term Assessment 2026 (Lugha) · Term 2 End-term Assessment 2026 (Lugha) · 42 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 42 questions with answers
- Question 1: Taja mambo matatu ambayo mtoto hapaswi kuwa nayo.Answer: Mkatili, mlafi na mchokozi.
- Question 2: Mwalimu aliwafunza wanafunzi kuwa ni vyema kuwa na ___.Answer: Nidhamu.
- Question 3: Nani aliyempikia Furaha uji?Answer: Mama yake.
- Question 4: Mtoto mwenye tabia mbaya ___ na watu wote.Answer: Huchukiwa.
- Question 5: Nani aliyependa kucheza sana?Answer: Furaha.
- Question 6: Nani hakuomba ruhusa kabla ya kuchukua vitu?Answer: Furaha.
- Question 7: Picha hii inaitwaje?Answer: Kaptura.
- Question 8: Picha hii inaitwaje?Answer: Jicho.
- Question 9: Picha hii inaitwaje?Answer: Nyama.
- Question 10: Picha hii inaitwaje?Answer: Kifyekeo.
- Question 11: Mtoto ni muhimu katika ___.Answer: Jamii.
- Question 12: Watoto watakuwa ___ wa siku zijazo.Answer: Viongozi.
- Question 13: Mtoto akiwa ___ anaweza kutibu wagonjwa.Answer: Daktari.
- Question 14: Mahitaji ya msingi ni chakula, mavazi na ___.Answer: Makazi.
- Question 15: Lishe bora huwapa watoto ___ njema.Answer: Afya.
- Question 16: Askari mlangoni.Answer: Mbigili / miiba.
- Question 17: Nyumba yangu haina mlango.Answer: Yai.
- Question 18: Mtoto umleavyo ndivyo ___.Answer: Akuavyo.
- Question 19: Bendera hufuata ___.Answer: Upepo.
- Question 20: Pole pole ndio ___.Answer: Mwendo.
- Question 21: 210 = ___Answer: Mia mbili na kumi.
- Question 22: 150 = ___Answer: Mia moja na hamsini.
- Question 23: 300 = ___Answer: Mia tatu.
- Question 24: 20 = ___Answer: Ishirini.
- Question 25: 110 = ___Answer: Mia moja na kumi.
- Question 26: Magari yatapangwa barabarani.Answer: Magari yalipangwa barabarani.
- Question 27: Chakula kinapikwa na mpishi.Answer: Chakula kilipikwa na mpishi.
- Question 28: Maji yatatekwa mtoni.Answer: Maji yalitekwa mtoni.
- Question 29: Mwashi hujenga nyumba.Answer: Mwashi alijenga nyumba.
- Question 30: Samaki anatumia mapezi kuogelea.Answer: Samaki alitumia mapezi kuogelea.
- Question 31: Duka la kuuza nyama ni ___.Answer: A. bucha
- Question 32: Panya ___.Answer: C. huyo
- Question 33: Samaki ___ majini.Answer: B. huogelea
- Question 34: Vijito ___ vina maji mengi.Answer: A. hivi
- Question 35: Ng'ombe huishi ___.Answer: C. zizini
- Question 36: HujamboAnswer: D. wakati wowote
- Question 37: SabalkheriAnswer: A. asubuhi
- Question 38: Mtoto wa nyoka: ___Answer: Ni nyoka.
- Question 39: Neno la upole la "Zaa" ni lipi?Answer: C. kujifungua
- Question 40: Neno la upole la "matako" ni lipi?Answer: A. makalio
- Question 41: Neno la upole la "kuwa na mimba" ni lipi?Answer: B. mjamzito
- Question 42: Tafuta vitendo katika mraba huu. Mfano: pika. Andika vitendo vitano (i–v).Answer: Pakua, tandika, fagia, anika, sugua.