CBC Grade 4 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 42
Tafuta vitendo katika mraba huu. Mfano: pika. Andika vitendo vitano (i–v).
From Kiswahili — Term 2 End-term Assessment 2026 (Lugha) · 5 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

Tafuta vitendo katika mraba huu. Mfano: pika.
Andika vitendo vitano (i–v).
Answer
Pakua, tandika, fagia, anika, sugua.
Vitendo vimefichwa kwa mlalo na kwa wima. Kwa mlalo: pakua (mstari 1), tandika (mstari 7), fagia (mstari 8), anika (mstari 9). Kwa wima: sugua (safu 1), shona (safu 2), panga (safu 8). "Pika" ni mfano uliotolewa, kwa hivyo tafuta vitendo vingine.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Taja mambo matatu ambayo mtoto hapaswi kuwa nayo.Question 1
- Mwalimu aliwafunza wanafunzi kuwa ni vyema kuwa na ___.Question 2
- Nani aliyempikia Furaha uji?Question 3
- Mtoto mwenye tabia mbaya ___ na watu wote.Question 4
- Nani aliyependa kucheza sana?Question 5
- Nani hakuomba ruhusa kabla ya kuchukua vitu?Question 6