CBC Grade 4 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 18
Mtoto umleavyo ndivyo ___.
From Kiswahili — Term 2 End-term Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
Andika majibu sahihi.
Mtoto umleavyo ndivyo ______.
Answer
Akuavyo.
Methali kamili ni "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo" — malezi ya mtoto huonekana katika tabia yake akikua.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.