CBC Grade 4 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 12
Watoto watakuwa ___ wa siku zijazo.
From Kiswahili — Term 2 End-term Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Watoto ni muhimu sana katika jamii. Wao ni viongozi wa siku zijazo. Wakisoma vizuri, wanaweza kuwa wabunge, madaktari, walimu, wahandisi na wauguzi.
Watoto wanapaswa kupewa mahitaji ya msingi kama chakula, mavazi na makazi. Pia wanahitaji elimu na lishe bora ili wawe na afya njema. Usalama wao unapaswa kuhakikishwa hadi wafikie viwango vya juu vya elimu.
Watoto watakuwa ______ wa siku zijazo.
Answer
Viongozi.
"Wao ni viongozi wa siku zijazo."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.