naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 15

Lishe bora huwapa watoto ___ njema.

From Kiswahili — Term 2 End-term Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.

Watoto ni muhimu sana katika jamii. Wao ni viongozi wa siku zijazo. Wakisoma vizuri, wanaweza kuwa wabunge, madaktari, walimu, wahandisi na wauguzi.

Watoto wanapaswa kupewa mahitaji ya msingi kama chakula, mavazi na makazi. Pia wanahitaji elimu na lishe bora ili wawe na afya njema. Usalama wao unapaswa kuhakikishwa hadi wafikie viwango vya juu vya elimu.

Lishe bora huwapa watoto ______ njema.

Answer

Afya.

Watoto wanahitaji lishe bora "ili wawe na afya njema."

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test