CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 5 (2026)
Kiswahili — Revision 5 (2026) · Revision 5 (2026) · 23 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 23 questions with answers
- Question 1: ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Mtu anayependa nchi yake anaitwa ___Answer: Mzalendo.
- Question 2: b) Taja njia tatu ambazo anayependa nchi yake anafaa kuishi na watu.Answer: Kwa amani, upendo na umoja.
- Question 3: c) Kila mtu anafaa kumpenda nani?Answer: Mwenzake.
- Question 4: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Bahati alizaliwa katika familia maskini hohehahe. Baada ya kukamilisha masomo yake, alianza kufanya vibarua…
- Question 5: SEHEMU C: UFAHAMU 1. Taja wanyama wowote wawili ambao mama yangu amefuga shambani mwake. a) b)Answer: kuku na mbuzi
- Question 6: Kuna mimea mbalimbali ambayo mama yangu amepanda shambani mwake. Taja baadhi ya mimea hiyo. a) b) c)Answer: mahindi, sukumawiki, parachichi
- Question 7: Mtoto wa kuku huitwa ___ (kinda, kifaranga)Answer: B. kifaranga
- Question 8: Taja matumizi mawili ya hela anazopata mama. a) b)Answer: kulipa karo na kutekeleza mahitaji ya nyumbani
- Question 9: Taja umuhimu wowote wa wanyama wa nyumbani.Answer: hutupa maziwa na nyama
- Question 10: SEHEMU YA D: SARUFI 1. Andika maneno haya katika wingi. a) MkulimaAnswer: wakulima
- Question 11: b) DarasaAnswer: madarasa
- Question 12: Eleza matumizi ya vifaa hivi vya shambani. a) JembeAnswer: kulima shamba
- Question 13: b) KifyekeoAnswer: kufyeka nyasi
- Question 14: Andika katika herufi kubwa. a) daktariAnswer: DAKTARI
- Question 15: b) rubaniAnswer: RUBANI
- Question 16: Chora na upake rangi wanyama hawa ambao hufugwa nyumbani. a) pakaAnswer: Paka, amepakwa rangi.
- Question 17: b) bataAnswer: Bata, amepakwa rangi.
- Question 18: Unda maneno ukitumia sauti hizi. a) shAnswer: shamba
- Question 19: b) vyAnswer: vyakula
- Question 20: Hawa ni akina nani? a) MkulimaAnswer: mtu anayelima shamba
- Question 21: b) RubaniAnswer: mtu anayeendesha ndege
- Question 22: Tumia -ako au -ao kujaza pengo. a) Mgeni ___ amefika.Answer: A. wako
- Question 23: ZOEZI 5: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu: MAMA YANGUAnswer: Mama yangu anaitwa Amina. Yeye ni mkulima. Hupika chakula kitamu. Hunisaidia kufanya kazi ya nyumbani.…