naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 4

SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.

From Kiswahili — Revision 5 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Bahati alizaliwa katika familia maskini hohehahe. Baada ya kukamilisha masomo yake, alianza kufanya vibarua vya hapa na pale. Kutokana na vibarua hivyo, aliweza kupata pesa. Alitumia pesa hizo kuanzisha biashara ya uchuuzi. Aliuza mayai ya kuchemsha.
Baada ya miezi kadhaa, Bahati alifungua duka la kuuza vitu vya ukulima kama mbegu na mbolea.

SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.

Answer

Bahati alizaliwa katika familia maskini hohehahe. Baada ya kukamilisha masomo yake, alianza kufanya vibarua vya hapa na pale. Kutokana na vibarua hivyo, aliweza kupata pesa. Alitumia pesa hizo kuanzisha biashara ya uchuuzi. Aliuza mayai ya kuchemsha. Baada ya miezi kadhaa, Bahati alifungua duka la kuuza vitu vya ukulima kama mbegu na mbolea.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test