naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5

SEHEMU C: UFAHAMU 1. Taja wanyama wowote wawili ambao mama yangu amefuga shambani mwake. a) b)

From Kiswahili — Revision 5 (2026) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi hii kisha ujibu maswali yafuatayo.

Mama yangu ana shamba kubwa. Shamba hili ameligawa katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza amefuga mifugo kama vile; kuku, mbuzi, kondoo na bata. Sehemu ya pili amepanda mimea kama vile; mahindi, sukumawiki, parachichi na ndimu. Mama huuza mimea na mifugo ili kupata hela. Yeye hutumia hela ili kutulipia karo shuleni na kutekeleza mahitaji ya nyumbani.

SEHEMU C: UFAHAMU
1. Taja wanyama wowote wawili ambao mama yangu amefuga shambani mwake.
a)
b)

Answer

kuku na mbuzi

Mama amefuga kuku, mbuzi, kondoo na bata.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test