CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7
Mtoto wa kuku huitwa ___ (kinda, kifaranga)
From Kiswahili — Revision 5 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
3. Mtoto wa kuku huitwa ________ (kinda, kifaranga)
- Akinda
- Bkifaranga
Answer
B. kifaranga
Mtoto wa kuku ni kifaranga; kinda ni mtoto wa ndege wengine.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Taja matumizi mawili ya hela anazopata mama. a) b)Question 8
- Taja umuhimu wowote wa wanyama wa nyumbani.Question 9
- SEHEMU YA D: SARUFI 1. Andika maneno haya katika wingi. a) MkulimaQuestion 10
- Eleza matumizi ya vifaa hivi vya shambani. a) JembeQuestion 12
- Andika katika herufi kubwa. a) daktariQuestion 14
- Chora na upake rangi wanyama hawa ambao hufugwa nyumbani. a) pakaQuestion 16