CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8
Taja matumizi mawili ya hela anazopata mama. a) b)
From Kiswahili — Revision 5 (2026) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi hii kisha ujibu maswali yafuatayo.
Mama yangu ana shamba kubwa. Shamba hili ameligawa katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza amefuga mifugo kama vile; kuku, mbuzi, kondoo na bata. Sehemu ya pili amepanda mimea kama vile; mahindi, sukumawiki, parachichi na ndimu. Mama huuza mimea na mifugo ili kupata hela. Yeye hutumia hela ili kutulipia karo shuleni na kutekeleza mahitaji ya nyumbani.
4. Taja matumizi mawili ya hela anazopata mama.
a)
b)
Answer
kulipa karo na kutekeleza mahitaji ya nyumbani
Mama hutumia hela kulipa karo shuleni na kutekeleza mahitaji ya nyumbani.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Taja umuhimu wowote wa wanyama wa nyumbani.Question 9
- SEHEMU YA D: SARUFI 1. Andika maneno haya katika wingi. a) MkulimaQuestion 10
- Eleza matumizi ya vifaa hivi vya shambani. a) JembeQuestion 12
- Andika katika herufi kubwa. a) daktariQuestion 14
- Chora na upake rangi wanyama hawa ambao hufugwa nyumbani. a) pakaQuestion 16
- Unda maneno ukitumia sauti hizi. a) shQuestion 18