CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 1
ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Mtu anayependa nchi yake anaitwa ___
From Kiswahili — Revision 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakusomea hadithi. Sikiliza kisha ujibu maswali kwa sauti.
ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
a) Mtu anayependa nchi yake anaitwa ________
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Mzalendo.
Hadithi inasema: mtu anayependa nchi yake anaitwa mzalendo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- b) Taja njia tatu ambazo anayependa nchi yake anafaa kuishi na watu.Question 2
- c) Kila mtu anafaa kumpenda nani?Question 3
- SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Question 4
- SEHEMU C: UFAHAMU 1. Taja wanyama wowote wawili ambao mama yangu amefuga shambani mwake. a) b)Question 5
- Kuna mimea mbalimbali ambayo mama yangu amepanda shambani mwake. Taja baadhi ya mimea hiyo. a) b) c)Question 6
- Mtoto wa kuku huitwa ___ (kinda, kifaranga)Question 7