CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8)
Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 29 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 29 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A Zoezi la 1: Kusikiliza na kuzungumza 1. Hujambo?Answer: Sijambo.
- Question 2: Mwalimu wako anaitwaje?Answer: Mwalimu wangu anaitwa Bi. Achieng.
- Question 3: Wewe hupenda kula chakula kipi?Answer: Mimi hupenda kula wali.
- Question 4: Nieleze kwa ufupi kuhusu rafiki yako.Answer: Rafiki yangu anaitwa Neema. Yeye ni mpole na tunacheza pamoja.
- Question 5: Zoezi la 2: Kusoma kwa sauti a) Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Mimi naitwa Lora. Nasoma katika shule ya msingi ya Songa Mbele. Shule yetu ina lango kuu la rangi ya kijani.…
- Question 6: b) Soma sentensi zifuatazo kwa sauti.Answer: Mama alipika chakula kitamu. Mwalimu anafundisha darasani. Kuku alitaga mayai. Tulicheza mpira. Paka…
- Question 7: SEHEMU B Zoezi la 3: Sarufi 1. Mwalimu atasoma maneno. Andika. 1.Answer: mama
- Question 8: 2.Answer: kuku
- Question 9: 3.Answer: mpira
- Question 10: 4.Answer: kiti
- Question 11: 5.Answer: shule
- Question 12: Unda maneno matano kutoka kwenye jedwali. Silabi: we, sa, ma, wi, ka, pe, fi, na, m, ne, ki, zi a)Answer: pesa
- Question 13: b)Answer: kazi
- Question 14: c)Answer: sana
- Question 15: d)Answer: nane
- Question 16: e)Answer: kisa
- Question 17: Andika kwa wakati ujao. a) Mama anafua nguo.Answer: Mama atafua nguo.
- Question 18: b) Kiatu changu kiliraruka.Answer: Kiatu changu kitararuka.
- Question 19: c) Mimi naenda shuleni.Answer: Mimi nitaenda shuleni.
- Question 20: Tunga sentensi ukitumia maneno uliyopewa. a) PendaAnswer: Ninapenda kusoma vitabu.
- Question 21: b) RulaAnswer: Nina rula ndefu.
- Question 22: c) LiaAnswer: Mtoto analia.
- Question 23: d) PesaAnswer: Baba ana pesa nyingi.
- Question 24: Asubuhi hiyo ndege walifanya nini?Answer: Waliimba mitini.
- Question 25: Chomba aliamka na kwenda wapi?Answer: shuleni
- Question 26: Paa la darasa liling'olewa na nini?Answer: upepo
- Question 27: Ni nani aliyewaambia wanafunzi wahamie katika darasa lingine?Answer: mwalimu
- Question 28: Wanafunzi walihamia wapi baada ya paa la darasa kung'olewa?Answer: darasa lingine
- Question 29: Andika sentensi tano kuhusu: MWALIMU WANGU WA DARASAAnswer: Mwalimu wangu wa darasa anaitwa Bi. Achieng. Yeye ni mpole. Anatufundisha Kiswahili. Anapenda kusoma.…