CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 25
Chomba aliamka na kwenda wapi?
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Zoezi la 4: Kusoma kwa ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.
Asubuhi na mapema ndege waliimba mitini. Hewa ilikuwa tulivu. Ndege walifurahia jua lilipochomoza. Chomba aliamka kwenda shuleni. Alipofika shuleni alipata paa la darasa lao limeng'olewa na upepo. Chomba na wenzake walishtuka sana. Baadaye mwalimu alifika na kuwaambia wahamie darasa lingine.
Wanafunzi walipangua madawati yao. Walisaidiana kuyabeba na kuyapeleka walikohamia. Walipanga madawati upya.
2. Chomba aliamka na kwenda wapi?
Answer
shuleni
Kifungu kinasema: shuleni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Paa la darasa liling'olewa na nini?Question 26
- Ni nani aliyewaambia wanafunzi wahamie katika darasa lingine?Question 27
- Wanafunzi walihamia wapi baada ya paa la darasa kung'olewa?Question 28
- Andika sentensi tano kuhusu: MWALIMU WANGU WA DARASAQuestion 29
- SEHEMU A Zoezi la 1: Kusikiliza na kuzungumza 1. Hujambo?Question 1
- Mwalimu wako anaitwaje?Question 2