naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 28

Wanafunzi walihamia wapi baada ya paa la darasa kung'olewa?

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Zoezi la 4: Kusoma kwa ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.

Asubuhi na mapema ndege waliimba mitini. Hewa ilikuwa tulivu. Ndege walifurahia jua lilipochomoza. Chomba aliamka kwenda shuleni. Alipofika shuleni alipata paa la darasa lao limeng'olewa na upepo. Chomba na wenzake walishtuka sana. Baadaye mwalimu alifika na kuwaambia wahamie darasa lingine.
Wanafunzi walipangua madawati yao. Walisaidiana kuyabeba na kuyapeleka walikohamia. Walipanga madawati upya.

5. Wanafunzi walihamia wapi baada ya paa la darasa kung'olewa?

Answer

darasa lingine

Kifungu kinasema: darasa lingine.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test