CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 4
Nieleze kwa ufupi kuhusu rafiki yako.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Jibu maswali kwa kutamka. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa Kiswahili. Unaweza kutumia majina ya kubuni.
4. Nieleze kwa ufupi kuhusu rafiki yako.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Rafiki yangu anaitwa Neema. Yeye ni mpole na tunacheza pamoja.
Taja jina la rafiki na jambo moja kumhusu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Zoezi la 2: Kusoma kwa sauti a) Soma kifungu hiki kwa sauti.Question 5
- b) Soma sentensi zifuatazo kwa sauti.Question 6
- SEHEMU B Zoezi la 3: Sarufi 1. Mwalimu atasoma maneno. Andika. 1.Question 7
- Unda maneno matano kutoka kwenye jedwali. Silabi: we, sa, ma, wi, ka, pe, fi, na, m, ne, ki, zi a)Question 12
- Andika kwa wakati ujao. a) Mama anafua nguo.Question 17
- b) Kiatu changu kiliraruka.Question 18