CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 6
b) Soma sentensi zifuatazo kwa sauti.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Mama alipika chakula kitamu.
Mwalimu anafundisha darasani.
Kuku alitaga mayai.
Tulicheza mpira.
Paka amekalia kiti.
Mwalimu anafundisha darasani.
Kuku alitaga mayai.
Tulicheza mpira.
Paka amekalia kiti.
b) Soma sentensi zifuatazo kwa sauti.
Answer
Mama alipika chakula kitamu. Mwalimu anafundisha darasani. Kuku alitaga mayai. Tulicheza mpira. Paka amekalia kiti.
Soma kila sentensi wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU B Zoezi la 3: Sarufi 1. Mwalimu atasoma maneno. Andika. 1.Question 7
- Unda maneno matano kutoka kwenye jedwali. Silabi: we, sa, ma, wi, ka, pe, fi, na, m, ne, ki, zi a)Question 12
- Andika kwa wakati ujao. a) Mama anafua nguo.Question 17
- b) Kiatu changu kiliraruka.Question 18
- c) Mimi naenda shuleni.Question 19
- Tunga sentensi ukitumia maneno uliyopewa. a) PendaQuestion 20