naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 5

Zoezi la 2: Kusoma kwa sauti a) Soma kifungu hiki kwa sauti.

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Mimi naitwa Lora. Nasoma katika shule ya msingi ya Songa Mbele. Shule yetu ina lango kuu la rangi ya kijani. Mwalimu mkuu anaitwa Bi. Zawadi. Pia tuna maktaba na majilisi. Sisi huenda kwenye gwaride. Siku ya Jumatatu na Ijumaa wanaskauti hupandisha bendera.

Zoezi la 2: Kusoma kwa sauti
a) Soma kifungu hiki kwa sauti.

Answer

Mimi naitwa Lora. Nasoma katika shule ya msingi ya Songa Mbele. Shule yetu ina lango kuu la rangi ya kijani. Mwalimu mkuu anaitwa Bi. Zawadi. Pia tuna maktaba na majilisi. Sisi huenda kwenye gwaride. Siku ya Jumatatu na Ijumaa wanaskauti hupandisha bendera.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test