CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026
Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 · Term 3 Opener Assessment 2026 · 41 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 41 questions with answers
- Question 1: Baba yake hufanya kazi gani?Answer: Baba yake ni askari.
- Question 2: Baba huenda mafunzo miezi mingapi?Answer: Miezi minne.
- Question 3: Nani huwapeleka shuleni?Answer: Mama.
- Question 4: Serikali ifanye nini?Answer: Ihakikishe baba anaenda mafunzo siku chache.
- Question 5: Familia hii ina watu wangapi?Answer: Watu wanne.
- Question 6: Zoezi 2: KUSOMA KWA SAUTI. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Answer: Mimi hupenda kucheza. Michezo husaidia sana kunyoosha viungo vya mwili. Michezo pia hupunguza uwezo wa…
- Question 7: Miti ni mimea ___Answer: mirefu na mikubwa
- Question 8: Hewa tunayopumua hutoka wapi?Answer: kwa miti
- Question 9: Miti hufanya nchi kuwa ___Answer: safi na ya kupendeza
- Question 10: Miti hutupa matunda kama yapi?Answer: maembe, mananasi, mapera na maparachichi
- Question 11: Babu kabla ya kunywa matawi hufanya nini?Answer: Huyachemsha.
- Question 12: Paka aliishi na nani?Answer: mwanadamu
- Question 13: Paka alikuwa anatumwa wapi?Answer: sokoni
- Question 14: Mtoto angeendelea kulia paka angemletea nini?Answer: maziwa ya ng'ombe
- Question 15: Ni chakula kipi mama alimwachia paka na mtoto?Answer: nyama, maziwa na mayai
- Question 16: Kwa nini mtoto alikuwa analia?Answer: Kwa sababu hakuwa amekula chochote; paka alikula chakula chote.
- Question 17: Tumia maneno haya kujaza pengo. Pengo la 1Answer: E. wangu
- Question 18: Pengo la 2Answer: C. wiki
- Question 19: Pengo la 3Answer: B. meno
- Question 20: Pengo la 4Answer: A. Kelele
- Question 21: Pengo la 5Answer: D. shilingi
- Question 22: Andika sentensi kwa kutumia picha hizi. (a)Answer: Mimi huandika kwa kalamu.
- Question 23: (b)Answer: Simba ni mnyama wa porini.
- Question 24: (c)Answer: Baba ana gari jipya.
- Question 25: Unda sentensi ukitumia maneno haya. (a) MpishiAnswer: Mpishi anapika chakula kitamu.
- Question 26: (b) MwakaAnswer: Mwaka huu nitaingia Gredi ya Tatu.
- Question 27: (c) KikombeAnswer: Ninakunywa chai kwa kikombe.
- Question 28: Andika kwa maneno. (a) 19Answer: kumi na tisa
- Question 29: (b) 57Answer: hamsini na saba
- Question 30: Akifisha sentensi hizi. (a) mama anakuitaAnswer: Mama anakuita.
- Question 31: (b) utakula niniAnswer: Utakula nini?
- Question 32: (c) mji wa kakamega ni mkubwa kuliko mji wa nyeriAnswer: Mji wa Kakamega ni mkubwa kuliko mji wa Nyeri.
- Question 33: Andika maneno haya kwa 'umoja' au 'wingi'. (a) kisu (umoja) → wingi: ___Answer: visu
- Question 34: (b) ___ (umoja) → wingi: madawatiAnswer: dawati
- Question 35: (c) tunda (umoja) → wingi: ___Answer: matunda
- Question 36: Tumia 'huo' ama 'hao' kukamilisha sentensi hizi. (a) Mlango ___ ni mpya.Answer: A. huo
- Question 37: (b) Watoto ___ wanacheza vizuri.Answer: B. hao
- Question 38: (c) Samaki ___ wamevuliwa.Answer: B. hao
- Question 39: Onyesha silabi za maneno haya. (a) mwakilishiAnswer: mwa-ki-li-shi
- Question 40: (b) temboAnswer: te-mbo
- Question 41: SEHEMU 4: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu picha hii.Answer: Hii ni sebule. Kuna saa ukutani. Kuna televisheni juu ya kabati. Kuna mmea kwenye chungu. Sebule ni safi.