CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 6
Zoezi 2: KUSOMA KWA SAUTI. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Zoezi 2: KUSOMA KWA SAUTI.
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Mimi hupenda kucheza. Michezo husaidia sana kunyoosha viungo vya mwili. Michezo pia hupunguza uwezo wa kupata maradhi kama vile kisukari. Wakati wa mapumziko, mimi hupenda kucheza soka. Mchezo huu huhusisha timu mbili. Kila timu hujitahidi kufunga mabao mengi iwezekanavyo. Ni vizuri kushiriki michezo ili kuboresha afya zetu.
Soma kila neno wazi, simama kwenye kitone na usome kwa kasi ya wastani. Tamka vizuri maneno kama kunyoosha, kisukari na iwezekanavyo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.