CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 10
Miti hutupa matunda kama yapi?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.
Miti ni mimea mirefu na mikubwa. Miti hutumika kwa njia nyingi. Miti husafisha hewa. Hewa tunayopumua hutoka kwa miti. Miti pia hurembesha nchi yetu. Hufanya nchi kukaa safi na ya kupendeza. Miti hutupa chakula. Tunapata matunda kama maembe, mananasi, mapera na maparachichi. Miti pia ni dawa. Babu yangu mara nyingi akiumwa na tumbo, huenda mwituni kutafuta dawa. Akirudi huwa amebeba matawi. Anayachemsha kisha anakunywa.
4. Miti hutupa matunda kama yapi?
Answer
maembe, mananasi, mapera na maparachichi
Kifungu kinataja maembe, mananasi, mapera na maparachichi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.