naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 13

Paka alikuwa anatumwa wapi?

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.

Hapo zamani paka na mwanadamu walikuwa marafiki. Waliishi kwa nyumba moja wote. Mwanadamu akitaka kitu sokoni angemtuma paka. Paka alikuwa mzuri sana. Alipenda kuchunga watoto wa binadamu. Mtoto angelia paka angembembeleza. Paka akiona mtoto anazidi kulia angeenda kumletea maziwa ya ng'ombe. Siku moja mwanadamu alienda safari ya mbali. Akamwacha mtoto wake na paka. Aliwaachia nyama, maziwa na mayai. Alipoenda paka akaamua kula chakula chote. Mama aliporudi alimkuta mtoto akilia. Alipomuuliza akasema hajakula chochote. Paka alipojua mama amejua kosa lake alitoroka. Kuanzia hiyo siku paka hakuachwa na mtoto tena.

2. Paka alikuwa anatumwa wapi?

Answer

sokoni

Mwanadamu akitaka kitu sokoni angemtuma paka.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test