CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 7
Miti ni mimea ___
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.
Miti ni mimea mirefu na mikubwa. Miti hutumika kwa njia nyingi. Miti husafisha hewa. Hewa tunayopumua hutoka kwa miti. Miti pia hurembesha nchi yetu. Hufanya nchi kukaa safi na ya kupendeza. Miti hutupa chakula. Tunapata matunda kama maembe, mananasi, mapera na maparachichi. Miti pia ni dawa. Babu yangu mara nyingi akiumwa na tumbo, huenda mwituni kutafuta dawa. Akirudi huwa amebeba matawi. Anayachemsha kisha anakunywa.
1. Miti ni mimea ____
Answer
mirefu na mikubwa
Kifungu kinaanza: Miti ni mimea mirefu na mikubwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.