naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 20

Pengo la 4

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

Tumia maneno haya kujaza pengo.

Mswaki __1__ ni mpya. Mama alininunulia mswaki __2__ iliyopita. Nilikuwa nautumia mswaki mbaya. Ulikuwa hausugui __3__ yangu vizuri. Kila mara nilikuwa nanuka mdomo. Mama alikuwa ananipigia __4__ kuwa niko mchafu. Lakini alipojua ni mswaki una kasoro, alienda kwenye duka kuu. Alinunua kwa __5__ sitini. Tangu nipate mswaki mpya kinywa changu hutoa harufu nzuri.

Pengo la 4

  1. AKelele
  2. Bmeno
  3. Cwiki
  4. Dshilingi
  5. Ewangu

Answer

A. Kelele

"ananipigia kelele" maana yake ni kunikemea.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test