CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu B: Ufahamu, Lugha na Kuandika
Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu B: Ufahamu, Lugha na Kuandika · End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu B: Ufahamu, Lugha na Kuandika · 27 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusikiliza na Kuzungumza, Kuandika.
All 27 questions with answers
- Question 1: a) Bahati na Rita hufanya nini pamoja?Answer: hucheza
- Question 2: b) Wanapenda mchezo gani?Answer: kandanda
- Question 3: a) Yohana ana wanyama wangapi?Answer: watatu
- Question 4: b) Je, mbwa hutusaidia vipi?Answer: hulinda nyumba
- Question 5: c) Yohana huwatunza wanyama wake vipi?Answer: huwapa chakula na maji safi
- Question 6: a) Kwa nini unampenda mama?Answer: kwa sababu hunitunza vizuri
- Question 7: b) Taja mambo ambayo mama hukusaidia.Answer: kupika, kufua nguo
- Question 8: a) Taja rangi mbili zilizotajwa kwenye hadithi.Answer: nyekundu na nyeupe
- Question 9: b) Baiskeli ya Gyan ina nini?Answer: bendera nyeupe
- Question 10: c) Gyan huendesha baiskeli yake wakati gani?Answer: baada ya shule
- Question 11: a) Daniella anaishi na ___Answer: baba na mama yake
- Question 12: b) Baba na mama ni ___Answer: B. wazazi
- Question 13: c) Kaka ya Daniella anaitwa ___Answer: Wambua
- Question 14: Jaza nafasi kwa herufi inayofaa a) Ms_chanaAnswer: msichana
- Question 15: b) Pak_Answer: paka
- Question 16: Jibu maswali sahihi a) Mimi ni ___Answer: A. mvulana
- Question 17: b) Ninasoma katika gredi ya ___Answer: A. kwanza
- Question 18: c) Kuna siku ___ kwa wiki.Answer: B. saba
- Question 19: Jibu maamkuzi haya a) Hujambo?Answer: sijambo
- Question 20: b) ShikamooAnswer: marahaba
- Question 21: Andika vizuri a) zameAnswer: meza
- Question 22: b) kusiAnswer: siku
- Question 23: 1.Answer: Mimi ni mwanafunzi.
- Question 24: 2.Answer: Mama anapika chakula.
- Question 25: 3.Answer: Baba anasoma gazeti.
- Question 26: 4.Answer: Tunacheza mpira.
- Question 27: Andika sentensi tano kuhusu shule yako.Answer: Shule yangu ni nzuri. Ina madarasa mengi. Walimu wetu ni wema. Tunacheza uwanjani. Ninaipenda shule yangu.